Header Ads

WANAFUNZI 10 BORA KITAIFA | SHULE KUMI BORA KITAIFA | MIKOA 10 BORA KITAIFA MATOKEO DARASA LA SABA 2019

Baraza la Mitihani la Taifa la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi ambako mikoa ya kanda ya ziwa imeonekana kuongoza .

Katika matokeo hayo yaliotangazwa leo Jumanne Oktoba 15, 2019 nafasi ya kwanza hadi ya 10 katika orodha ya wavulana waliofanya vizuri zimeshikwa na wanafunzi kutoka katika mikoa ya kanda ya ziwa.

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!