Header Ads

DC MURO ASAKA WEZI NYUMBA KWA NYUMBA NI WALE WANAOIBA VIFAA KWENYE MRADI WA MAJI BILIONI 520


Mkuu wa wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Muro amelazimika kufanya msako wa nyumba kwa nyumba kutafuta vifaa vinavyoibwa kwenye mradi mkubwa wa maji wa Bilioni 520 kufuatia baadhi ya watuhumiwa kukutwa wakiwa wametelekeza vifaa hivyo nje ya nyumba zao

Dc Muro akiongozona na baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ulinzi na usalama wa wilaya ya Arumeru amesema msako huo alifanikiwa kuwakamata watuhumiwa 7 amesema lengo la msako huo ni kuhakikisha hakuna mtu ataiba vifaa vya ujenzi na kuvificha Nyumbani kabla ya kuvisafirisha vifaa hivyo kwenda mbali zaidi


No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!