Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania

Tunakushukuru Sana kwa kuwa sehemu ya Mtandao wetu kwa takriban miaka 10 sasa! Tumesitisha Huduma kwa Muda Mpaka hapo Baadaye!

COPYRIGHT © Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania | POWERED BY ZOTEKALI WEB SERVICES

#Blog visitors

Kumbukumbu za Habari

POKEA HABARI KWA EMAIL

#Blog Tags

Ad Home

Header Ads

#All Popular News

Kijukuu Online Tv

Sikiliza KAHAMA FM

Advertisement

Banner

kijukuu-banner

YANGA WATOA MAPINGAMIZI KUFUNGIWA KWA KOCHA WAO ZAHERA

Zikiwa zimepita siku tatu tangu bodi ya ligi kuu Tanzania bara itangaze kumfungia mechi tatu kocha wa Yanga Mwinyi Zahera kwa kosa la kutoa shutuma na kejeli kwa bodi hiyo baada ya mechi yao dhidi ya Ruvu Shooting, leo uongozi wa timu hiyo umetangaza kupeleka malalamiko kwa wizara ya michezo kupinga maamuzi hayo.

Yanga kupitia Makamu Mwenyekiti wao Fredrick Mwakalebela wamesema adhabu ya kumfungia kocha wao mechi tatu ni kubwa na kupendekeza angepewa faini tu.

Pia Yanga wamelalamika kitendo cha kocha wao Mwinyi Zahera kupigwa wa faini ya Tsh 500,000 kwa kuvaa mavazi yasiyo nadhifu, huku kocha msaidizi wa Ruvu Shooting kutopewa adhabu licha kutovaa mavazi rasmi.

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!

#Weekly Top News