Header Ads

TAIFA STARS WAONDOKA KUELEKEA NCHINI BURUNDI


Wachezaji wa Timu ya Taifa, Taifa Stars wameondoka kuelekea nchini Burundi kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar dhidi ya Burundi mchezo wa kwanza utachezwa Burundi kesho Septemba 4, 2019 na marudiano uwanja wa Taifa Septemba 8, 2019.


 

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!