Header Ads

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA DC NA DED MALINYI MKOANI MOROGORO.

Rais Magufuli  ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi  mkoani Morogoro, Majura Mateko Kasika na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Mussa Mnyeti.


No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!