Header Ads

RAIS MAGUFULI AMTEUA KAMISHNA DIWANI ATHUMANI KUWA MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athumani Msuya Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (DGIS) Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 12, 2019
PICHA NA IKULU

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!