Header Ads

RAIS MAGUFULI AMFUKUZA KAZI MKUU WA MKOA WA MOROGORO..KATEUA MWINGINE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa Septemba 20,2019 amefanya Mabadiliko na Kuteua Viongozi wengine katika baadhi ya Nafasi mbalimbali katika Serikali. 

Uteuzi unatangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi.

Rais Magufuli amemteua Loata Sanare ambaye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha kuwa  Mkuu wa mkoa wa Morogoro,nafasi ambayo ilikuwa inashikiliwa na Stephen Kebwe.


Rais Magufuli leo Ijumaa Septemba 20,2019 ameteua viongozi wengine mbalimbali

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!