Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania

Tunakushukuru Sana kwa kuwa sehemu ya Mtandao wetu kwa takriban miaka 10 sasa! Tumesitisha Huduma kwa Muda Mpaka hapo Baadaye!

COPYRIGHT © Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania | POWERED BY ZOTEKALI WEB SERVICES

#Blog visitors

Kumbukumbu za Habari

POKEA HABARI KWA EMAIL

#Blog Tags

Ad Home

Header Ads

#All Popular News

Kijukuu Online Tv

Sikiliza KAHAMA FM

Advertisement

Banner

kijukuu-banner

NYUMBA YA MCHEZAJI ALIYESHINDWA KUFUNGA PENATI YAPIGWA MAWE NA MASHABIKI

Baadhi ya mashabiki nchini Sierra Leone wamevamia nyumba ya Nahondha wa Timu ya Taifa hilo,  Umaru Bangura kukosa Penati dakika 90+4 wakati wa mechi muhimu ya kufuzu kwa kombe la dunia ambapo mechi iliisha Sierra Leon akishinda 1-0 dhidi ya Liberia (Agg 2-3)

Mashabiki walitoa hasira zao kwa kuvamia nyumba yake iliyo mji wa Freetown, ambapo waliitupia mawe kuvunja vioo na madirisha

Kama Bangura angefunga Sierra Leon ingesonga mbele.

"Ilikuwa moja ya siku mbaya sana maishani mwangu, siwezi hata kwenda nje kwa sababu sikutarajia aina hii ya uadui kwangu" aliiambia BBC wakati akiwa chumbani kwak.e

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!

#Weekly Top News