Header Ads

NGUZA VIKING 'BABU SEYA' NA KATIBU TAWALA WILAYA YA MUHEZA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA

Mwanamuziki Mkongwe nchini Nguza Viking almaarufu Babu Seya amefunga ndoa takatifu Jumamosi Septemba 7,2029 katika Kanisa Katoliki,Sinza jijini Dar es salaam na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Desderia Haule. Tunawatakia kila la kheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa. 
Mwanamuziki Mkongwe nchini Nguza Viking almaarufu Babu Seya akiwasili katika kanisa la katoliki Sinza Jumamosi Septemba 7,2029 jijini Dar kufunga ndoa takatifu na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Desderia Haule. Tunawatakia kila lakheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa. 

Bi Harusi, Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Desderia Haule akiwa katika furaha

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!