Header Ads

DJ APIGWA HADI KUVIMBA MACHO KISA KUCHEZA MUZIKI WA AFRIKA KUSINI

DJ Hero amepigwa baada ya kucheza muziki wa msanii kutoka nchini Afrika Kusini kwenye klabu ya muziki nchini Zambia.

Baadhi ya watu wamesusia kucheza muziki kutoka Afrika Kusini ikiwa ni njia ya kuonesha kukerwa na vitendo vya raia wa kigeni kushambuliwa nchini humo.

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!