Header Ads

WALIMU WANAOTUHUMIWA KUMUUA MWANAFUNZI KWA VIBOKO WAFIKISHWA MAHAKAMANI

Walimu  wawili wa Shule ya Msingi Kibeta Manispaa ya Bukoba  wamefikishwa Mahakamani leo asubuhi Septemba 3, 2018   wakikabiliwea na kesi ya mauaji ya Mwanafunzi Sperius Eradius (13) wa darasa la 5.

Walimu hao waliofikishwa mahakama ya wilaya ya Bukoba kusomewa mashtaka yanayowakabili  ni Mwalimu Respicious aliyetoa adhabu ya vibobo na Mwalimu aliyedai kupotelewa na mkoba Elieth Gerald.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba  17, 2018  na watuhumiwa wote  wamerudishwa rumande.

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!