Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania

Tunakushukuru Sana kwa kuwa sehemu ya Mtandao wetu kwa takriban miaka 10 sasa! Tumesitisha Huduma kwa Muda Mpaka hapo Baadaye!

COPYRIGHT © Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania | POWERED BY ZOTEKALI WEB SERVICES

#Blog visitors

Kumbukumbu za Habari

POKEA HABARI KWA EMAIL

#Blog Tags

Ad Home

Header Ads

#All Popular News

Kijukuu Online Tv

Sikiliza KAHAMA FM

Advertisement

Banner

kijukuu-banner

RAIS MAGUFULI AMTUMBUA PROFESA MWANDOSYA...NAFASI YAKE KAPEWA WASIRA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Steven Wasira kuwa mwenyekiti wa bodi ya chuo cha mwalimu Nyerere nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Mark Mwandosya.

Aidha, wakati huo huo Rais Dkt. Magufuli amemteua Dkt. Festus Bulugu kuwa mwenyekiti wa baraza la uwekezaji la wananchi kiuchumi.

Dkt. Limbu anachukua nafasi ya Dkt. John Jungu ambaye amekuwa Katibu Mkuu wizara ya Afya, Jinsia Wazee na Watoto.

Itakumbukwa Dkt. Festus Burugu Limbu alikuwa mbunge wa Jimbo la Magu mkoani Mwanza, kwa awamu tatu tofauti akianza mwaka 2000 hadi 2015 na Stephen Masato Wasira  alihudumu kama Mbunge wa jimbo la Bunda Mjini kutoka mwaka 2005 hadi 2015 ambapo aliangushwa na Mbunge wa sasa Easter Bulaya.

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!

#Weekly Top News