Header Ads

GARI LA IKULU YA RAIS WA KENYA LAIBWA NA KUKAMATWA MJINI MOSHI NCHINI TANZANIA

Jeshi la polisi linawashikilia watu wawili wakazi wa Moshi kwa kukutwa na gari inayosadikiwa kumilikiwa na Ikulu ya Nairobi nchini Kenya ambayo inasadikiwa kuibwa nchini Kenya tarehe 19 Agosti.

Gari aina ya Nissan V8 yenye Namba za Usajili KCP 184 RV. Lakini ilikuwa imebandikwa T954 DEQ ilikamatwa ikiwa njiani ikielekea Kilimanjaro ikitokea nchini Kenya.  Tarehe 19 kulikuwa na taarifa ya gari aina ya V8 kuibiwa Kenya.

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!