Header Ads

WAZIRI MKUU AMTAMBULISHA DC MPYA WA KAHAMA KWA WANANCHI.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtambulisha Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha wakati akiweka jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Chela katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga Julai 17, 2018. Mkuu huyo wa wilaya aliapishwa jana asubuhi na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtambulisha Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha wakati alipoweka jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Chela katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Julai 17, 2018. Mkuu huyo wa wilaya aliapishwa jana asubuhi na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Teklack.
Mkuu wa wilaya ya Kahama, Anamringi Macha akiwatambulisha viongozi wa wilaya ya Kahama wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasalimia wananchi wa Kijiji cha Chela baada ya kuweka jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Chela katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Julai 17, 2018. Wanne kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack na kulia ni Mbunge wa Msalala Ezekiel Maige.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!