Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania

Tunakushukuru Sana kwa kuwa sehemu ya Mtandao wetu kwa takriban miaka 10 sasa! Tumesitisha Huduma kwa Muda Mpaka hapo Baadaye!

COPYRIGHT © Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania | POWERED BY ZOTEKALI WEB SERVICES

#Blog visitors

Kumbukumbu za Habari

POKEA HABARI KWA EMAIL

#Blog Tags

Ad Home

Header Ads

#All Popular News

Kijukuu Online Tv

Sikiliza KAHAMA FM

Advertisement

Banner

kijukuu-banner

LIVE:MATUKIO YA SEND OFF YA MTOTO WA JOSAM NTANGEKI MJINI KAHAMA

BIBI HARUSI MTARAJIWA JOANITHA JOSAM AKIMLISHA NDAFU BABA YAKE MZAZI MR JOSAM
 
BIBI HARUSI MTARAJIWA JOANITHA JOSAM KUSHOTO AKIMTAMBULISHA RASMI MUMEWE MTARAJIWA MICHAEL KUTOKA NIGERIA
 
BI HARUSI MTARAJIWA AKIKABIDHI KEKI KWA WAZAZI WA MICHAEL JOSHUA TOKA NIGERIA

 BIBI HARUSI MTARAJIWA ANAYEAGWA LEO JOANITHA JOSAM KULIA AKIWA NA MATRON WAKE KUSHOTO
BIBI HARUSI MTARAJIWA JOANITHA JOSAM AKIWA AMEZUNGUKWA NA WADADA PAMOJA NA WAKAKA WALIOMSINDIKIZA

WADADA WANAOMSINDIKIZA BIBI HARUSI MTARAJIWA WAKIWA WANASUBIRI KUMPOKEA BIBI HARUSI
ENEO LA WAGENI WAALIKWA NAMNA LILIVYOPAMBWA KATIKA UKUMBI WA AFRICAN LOUNGE MJINI KAHAMA.
 WAZAZI UPANDE WA BWANA HARUSI TOKA NIGERIA WAKIINGIA UKUMBINI
 NDUGU WA BWANA HARUSI WAKIINGIA UKUMBINI
 NDUGU WA BWANA HARUSI TOKA NIGERIA WAKIINGIA UKUMBINI
 WAGENI UPANDE WA BWANA HARUSI WAKIZIDI KUINGIA
 WAGENI WAALIKWA WAKIWA WAMECHUKUA NAFASI ZAO KATIKA UKUMBI WA AFRICAN LOUNGE.

 WAGENI WAALIKWA WAKIWA UKUMBINI
 NI SHANGWE NA VIFIJO WAGENI WAKIWA KATIKA MAENEO YAO
 RAHA YA SHUGHULI NI WATU WAGENI WAALIKWA WAKIWA UKUMBINI
 WAGENI WAALIKWA WAKIZIDI KUINGIA UKUMBINI

 WAZAZI UPANDE WA BWANA HARUSI
 WAGENI WAKIMSUBIRI KWA HAMU BIBI HARUSI MTARAJIWA
 NYUSO ZA FURAHA NDANI YA UKUMBI WAGENI WAKIFURAHI
 BABA NA MAMA WA BIBI HARUSI MTARAJIWA (MR AND MRS JOSAM) WAKITETA JAMBO KALBA MTOTO WAO HAJAINGIA UKUMBINI.

 NDUGU WA MUME MTARAJIWA KUTOKA NIGERIA WAKIWA KATIKA PICHAYA PAMOJA

 BLIGHTERS WAKIINGIA UKUMBINI
 DADA WA BIBI HARUSI MTARAJIWA WAKIINGIA UKUMBINI
WADADA WANANG'AA WAKIINGIA UKUMBINI KWA MBWEMBWE
 BIBI HARUSI MTARAJIWA JOANITHA JOSAM AKIINGIAUKUMBINI
 BIBI HARUSI MTARAJIWA AKINESA HUKU AKIINGIA UKUMBINI
 FURAHA YA KUOLEWA BIBI HARUSI MTARAJIWA AKIYARUDI WAKATI AKIINGIA UKUMBINI.
 BIBI HARUSI MTARAJIWA AKIPOKELEWA UKUMBINI
BIBI HARUSI AKIWA TAYARI AMEINGIA UKUMBINI
 BIBI HARUSI AKISEREBUKA NA WADADA NA WAKAKA WALIOMSINDIKIZA
 BIBI HARUSI FULL FURAHA NA VICHEKO BAADA YA KUPOKELEWA STEJINI
 MC MTUKAMANZIMA KUTOKA DAR ES SALAAM AKIENDELEA NA RATIBA NA KUMWITA MWENYEKITI WA KAMATI KWA AJILI YA UFUNGUZI.
 MWENYEKITI WA SHEREHE AKIBARIKI NA KUFUNGUA SHEREHE
UPANDE WA JIKO MAANDALIZI MAZURI KWELI HAPA WAKIANDAA CAHULA KWA AJILI YA WAGENI KUPATA
WAGENI WAALIKWA WAKISHUHUDIA TUKIO ZIMA KATIKA UKUMBI WA AFRICAN LOUNGE

BIBI HARUSI MTARAJIWA AKIWA NA MATRON WAKE WANASUBIRI TUKIO LA MSHENGA KWENDA UKWENI
WAGENI WAALIKWA WAKIWA UKUMBINI NA SHEREHE IKIENDELEA
WAGENI WAALIKWA WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA SANA KATIKA UKUMBI
WAGENI WAALIKWA WAKIWA BUSY WAKIFUATILIA TUKIO ZIMA KUPITIA KIJUKUU BLOG
MEZA YA WAZAZI WA BIBI HARUSI IKIWA TAYARI KUMSUBIRI MSHENGA

FAMILIA YA JOSAM IKIWA KATIKA MEZA YAKE IKIMSUBIRI MSHENGA
MSHENGA KUTOKA NIGERIA AKIWA AMEKAA KATIKA  MKEKA WA KIMILA AKIELEZA KILE ALICHOTUMWA NA FAMILIA YA MICHAEL JOSHUA KUTOKA NIGERIA
 WAGENI WAALIKWA WAKIFUATILIA TUKIO ZIMA LA MSHENGA KUPELEKA ZAWADI UKWENI
 WAZEE WA KIMILA TOKA NIGERIA WAKIJIANDAA KUPELEKA ZAWADI KWA FAMILIA YA BIBI HARUSI.

 WAZAZI WA BWANA HARUSI MTARAJIWA WAKIPELEKA ZAWADI ZA KIMILA
 ZAWADI ZIMEPANDA NDEGE HIZOOOOOOOOO HATARI SANAAA
 WAZAZI WAKIPELEKA ZAWADI KWA FAMILIA YA BIBI HARUSI
 SIJUI HICHO KIFURUSHI KIMEJAA NINI HUMO NDANI
 ZAWADI ZIKIZIDI KUPELEKWA
 MSHENGA AKIZIDI KUZUNGUMZA NA WAZAZI UPANDE WA BIBI HARUSI
WAZAZI WA PANDE ZOTE WAKIPENA MIKONO MARA BAADA YA KUPOKEA ZAWADI ZA KIMILA
WAZAZI WA BIBI HARUSI WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA KUWAPOKEA WAZAZI WA BWANA HARUSI TOKA NIGERIA
FULL KUPEANA MIKONO NA KUPONGEZANA NA WAKWE
WAZAZI WA NIGERIA WAKIPEANA MIKONO YA FURAHA BAADA YA KUKABIDHI ZAWADI
BIBI HARUSI AKIENDA KWENYE MEZA YA KEKI KWA AJILI YA ZOEZI KUBWA LA KUKATA KEKI

BIBI HARUSI MTARAJIWA AKIKATA KEKI KWA AJILI YA KUMLISHA MATRON WAKE
MATRON WA BIBI HARUSI AKIJIANDAA KUMLISHA KEKI BI HARUSI MTARAJIWA
BIBI HARUSI MTARAJIWA AKIMLISHA KEKI MATRON WAKE
BIBI HARUSI MTARAJIWA JOANITHA JOSAM KULIA AKIKUMBATIANA NA MATRON WAKEMARA BAADA YA KULISHANA KEKI
BIBI HARUSI MTARAJIWA AKISINDIKIZWA NA MATRON KUPELEKA KEKI KWA FAMILIA YA BWANA HARUSI
WATAALAMU WA KUFUNGUA SHAMPEIN WAKIWA KWA STEJI TAYARI KWA MAANDALIZI YA KUFUNGUA KEKI

 BIBI HARUSI MTARAJIWA AKIWAKABIDHI KEKI NDUGU WA BABA YAKE
 MC KUTOKA DAR ES SALAAM AKIWAWEKEA SHAMPEIN BIBI HARUSI NA MATRON WAKE
 MAANDALIZI YA KUGONGA CHEERS
 BIBI HARUSI AKIGONGA CHEERS NA WAZAZI WAKE
 BIBI HARUSI AKIGONGA CHEERS NA WAZAZI WA BWANA HARUSI

BIBI HARUSI MTARAJIWA JOANITHA JOSAM KULIA AKIWATAMBUKISHA WAZAZI NDUGU NA JAMAA
WAZAZI UPANDE WA BIBI HARUSI WAKIPUNGA MIKONO JUU KUWASALIMIA WAGENI WAALIKWA
WAGENI WAALIKWA WAKIWA WAMETULIA WAKIFUATILIA MATUKIO
MADADA WA BIBI HARUSI WAKIWASALIMIA WAGENI WAALIKWA UKUMBINI
BWANA HARUSI MTARAJIWA MR MICHAEL AKITETA JAMBO NA FAMILIA YAKE
BIBI HARUSI MTARAJIWA AKISINDIKIZWA KWENDA KUMWINUA BWANA HARUSI MTARAJIWA
BIBI HARUSI MTARAJIWA AKIMSOGELEA BWANA HARUSI TAYARI KUMTAMBULISHA MBELE YA WAGENI WAALIKWA
BIBI HARUSI MTARAJIWA BI JOANITHA JOSAM AKIMTAMBULISHA RASMI MUMEWE MTARAJIWA
BIBI HARUSI MTARAJIWA AKIWEKA SURA YA TABASAMU NA MUMEWE MTARAJIWA
IKAFIKA ZAMU YA SHEMEJI KUJITAMBULISHA MBELE YA WANAFAMILIA NA WAGENI WAALIKWA ILIKUWA NI MWENDO WA IGWEEEEEEEEE
BWANA HARUSI AKIMWITA MJOMBA WAKE KWA AJILI YA KUFANAUTAMBULISHO
MJOMB A WA BWANA HARUSI MTARAJIWA AKIFANYA UTAMBULISH WA NDUGU WA MWANAUME TOKA NIGERIA
MZEE MAARUFU TOKA NIGERIA AKIPUNGA MKONO KUSALIMIA WANANCHI
MAMA TOKA NIGERIA AKIJITAMBULISHA
WAGENI TOKA NIGERIA WAKIENDELEA KUSALIMIA RAIA
WAMAMA TOKA NIGERIA WAKIENDELEA KUSALIMIA
MDOGO WA BWANA HARUSI AKISIMAMA KUSALIMIA WAGENI
WAGENI WAALIKWA WAKIENDELEA KUPATA VINJWAJI NA VITAFUNWA
UKUMBI UMEPENDEZA NI SHANGWE KWA KWENDA MBELE
WAGENI WAALIKWA WAKIANGALIA SHOW YA MSANII SAIDA KALOLI
WAGENI WAALIKWA UZALENDO ULIWASHINDA IKAWABIDI NAO WAINGIE NDANI KUCHAMBUA KAMA KARANGA
WAGENI WAALIKWA WAKIENDELEA KUFUATILIA SHOW YA SAIDA KALOLI
MZEE MAARUFU MJINK KAHAMA MR BIJAMPOLA UZALENDO NAYE UKAMSHINDA AKAKUMBUKA ZA NYUMBANI
NI MWENDO WA KUCAMBUA KAMA KARANGA
DJ TOKA KAHAMA FM DJ RAMMY NAYE ALIKUWEPO
 KISHA UKAFUATA MUDA WA KULETWA NDAFU MEZANI
NDAFU MARA BAADA YA KUFUNULIWA AISEEE NI BALAAAAAAA

 BABA MZAZI WA BI HARUSI MTARAJIWA MR JOSAM NTANGEKI AKIMLISHA NDAFU BINTI YAKE JOANITHA
 BABA MZAZI WA JOANITHA PAMOJA NA MAMA YAKE WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA MARA BAADA YA BINTI WAO KUITWA KWA AJILI YA ZOEZI LA KULISHANA NDAFU
BIBI HARUSI MTARAJIWA AKIMLISHA NDAFU MAMA YAKE KWA HESHIMA KUBWA

 ONA MBUZI ALIVYOTENGENEZWA NA KUNONA AISEE BALAA SANAA 
 BIBI HARUSI MTARAJIWA  AKIWA AMEMPA ZAWADI MUMEWE MTARAJIWA
 BIBI HARUSI MTARAJIWA AKIWA NA BWANA HARUSI MTARAJIWA WAKIENDA KUPATA CHAKULA
 BWANA HARUSI NA BIBI HARUSI MTARAJIWA WAKIWA WANAENDA KUCHUKUA CHAKULA HUKU WAKICHEZA NYIMBO ZA KINIGERIA
BIBI HARUSI AKIENDELEA KUYARUDI KWA NGUVU YA HATARI NI FULL FURAHA NA SHANGWE
 HATARI TUPU AISEEE FULL KUCHEZA NI FURAHA ZA HATARI
 BIBI HARUSI AKIMFUNGULIA MUMEWE MTARAJIWA MAJI ILI ANAWE KWA AJILI YA KUPATA CHAKULA

 HII INAITWA BIBI MBELE BWANA NYUMA HAKIKA ILIPENDEZA SANAAAAAA
 WADADA NA WAKAKA WALIOMSINDIKIZA BIBI HARUSI NAO WAKIWA KATIKA FOLENI YA CHAKULA
 BWANA NA BIBI HARUSI WATARAJIWA WAKIWA WANAPATA CHAKULA HUKU WAKIPIGA STORY MBILI TATU
 MLO TIME BWANA HARUSI MTARAJIWA NA BIBI HARUSI PAMOJA NA MATRON WAKIPATA MSOSI
 MAMA WA BWANA HARUSI AKINAWA KWA AJILI YA KUPATA CHAKULA
 BABA WA BWANA HARUSI AKINAWA KWA AJILI YA KUPATA CHAKULA

WAGENI WAALIKWA NAO WAKIWA KWENYE FOLENI YA CHAKULA 
BABA WA BIBI HARUSI MTARAJIWA AKIWA KATIKA FOLENI YA KUPATA CHAKULA
 MC NAMBA MBILI MWL VICTOR TANDISE AKIWA KATIKA MAJUKUMU YA USHEREHESHAJI
WAGENI KUTOKA NIGERIA WAKIPATA CHAKULA
 WADADA WA BIBI HARUSI WAKIPATA CHAKULA
 FAMILIA YA JOSAM IKIPATA CHAKULA


WAGENI WAALIKWA WAKICHEZA KWAITO
 MSOSI KWA KWENDA MBELE
 WAGENI WAALIKWA WAKIPATA CHAKULA
 MSANII WA NYIMBO ZA ASILI TOKA BUKOBA AKIFANYA YAKE
BWANA NA BIBI JOSAM WAKIWA WAMESIMAMA KUTOA ZAWADI KWA BINTI YAO
MR JOSAM BABA MZAZI WA BIBI HARUSI AKITAJA ZAWADI
ZAWADI YA KWANZA ALIYOTOA BABA WA JOANITHA NI BIBLIA
HAPA BIBI HARUSI AKIKABIDHIWA BIBLIA NA BABA YAKE MZAZI

ZAWADI YA PILI NI KITABU CHA NYIMBO ZA DINI
ZAWADI YA TATU NI UTHIBITISHO WA BENKI YA CRDB AMBAPO BABA WA BIBI HARUSI MTARAJIWA AMEMWEKEA MTOTO WAKE KIASI CHA DOLA MILIONI 25
BIBI HARUSI AKISOMA USHAHIDI WA DOLA MILIONI 25 MBELE YA KADAMNASI
MAMA WA BIBI HARUSI AKIHITIMISHA WOSIA KWA BINI YAKE KWA KUWAPUNGIA MKONO WAGENI WAALIKWA
 KAMA HUJAWAHI KUSIKIA NENO KUCHAFUA MEZA NDO HUKU SASA....WADADA WENYE SIFA ZOTE ZA KUISHI MJINI WAKIWA WAMEJIACHIA KWA RAHA ZAO
 WAZAZI UPANDE WA BWANA HARUSI NAO WAKATOA DOLA ELFU KUMI KWA SHANGAZI WA WA BIBI HARUSI KWA KUKUBALI BINTI YAO KUOLEWA NIGERIA
 WAMAMA TOKA NIGERIAWAKITUPIA DOLA CHINI KWA AJILI YA SHANGAZI WA BIBI HARUSI
BWANA HARUSI MTARAJIWA MR MICHAEL AKITOA NENO LA SHUKRANI KWA LUGHA YA KISWAHILI NA KIKUBWA ALIWASHUKURU WAZAZI WA JOANITHA KWA KUKUBALI AMUOE MTOTO WAO,NA AMEHAIDI KUWA JOANITHA BAADA YA MWAKA MOJA ATAKUWA NA WATOTO MAPACHA.................SHEMEJI WE HATAREEEEEEE
 
MC NTUKAMAZINA AKITAFSIRI KILE AMBACHO BWANA HARUSI KWA KISWAHILI ILI NDUGU KUTOKA NIGERIA WAFAHAMU ALICHOONGEA MTOTO WAO
UKISIKIA KATA MTI PANDA MTI NDO HII AISEEE ILIKUWA BALAAA SANAAA
 CAMERA YETU YA KIJUKUU BLOG ILIWABAMBA WAPENDAO HAWA KWA RAHA ZAO
KWAKWELI ILIKUWA POUWA SANAAAAAAAA
MR AND MRS JOSAM WAKICHEKA WAKATI MKWE WAO AKIONGEA KISHWAHILI CHA KUBABIA
WAGENI WAALIKWA WAKIWA WAMEJIACHIA KWA RAHA ZAO
 BWANA HARUSI MTARAJIWA AKISEREBUKA KINEGERIA BAADA YA KUZUNGUMZA KISWAHILI
 SAA SITA NA DAKIKA 45 WAGENI TOKA NIGERIA AKIWEMO BWANA HARUSI MTARAJIWA WAKITOA MKONO WA KWAHEI NA KUONDOKA UKUMBINI
 BWANA HARUSI MTARAJIWA AKIAGA KWA HESHIMA ZOTE ZA KIIGWEEEEEEEEEE KWA BABA MKWE JOSAM
 WANIGERIA WAKIITIMISHA SHEREHE KWA SELFIE YA HATARI KWA AJILI YA KUMBUKUMBU ZA BAADAYE................KAANGA PHOTO PWAAAAA
 MC AKIHAMASISHA ZAWADI
NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAKITOA ZAWADI KWA BIBI HARUSI MTARAJIWA
 VIONGOZI NA NDUGU MBALI MBALI WAKITOA ZAWADI KWA JOANITHA
 WAGENI WAALIKWA NA VIKUNDIWAKIENDELA KUTOA ZAWADI
 UTOAJI WA ZAWADI UKIENDELEA NDANI YA AFRICA LOUNGE HATARI SANAAAA
KIKUNDI CHA  BAKABALENGE WAKITOA ZAWADI KWA BIBI HARUSI MTARAJIWA
 ZAWADI ZIKIENDELEA KUTOKA KWA BIBI HARUSI MTARAJIWA
 UKAFIKA MUDA WA LILE KUNDI KUBWAMJINI KAHAMA LA SIX BROTHERS KUTOA ZAWADI
 MKURUGENZI WA KWEMA MR MATHAYO AKIZUNGUMZA MACHACHE KABLA YA KUTOA CHECK YA SHILINGI MILIONI TATU.
 MR MATHAYO AKIMWITA BIBI HARUSI NA KUMWAMURU ACHEZE KIDOGO
MC TANDISE AKISOMA CHECK YA SHILINGI MILIONI TATU ILIYOTOLEWA NA SIX BROTHERS KUPITIA BANK YA BOANo comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!

#Weekly Top News