Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania

Tunakushukuru Sana kwa kuwa sehemu ya Mtandao wetu kwa takriban miaka 10 sasa! Tumesitisha Huduma kwa Muda Mpaka hapo Baadaye!

COPYRIGHT © Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania | POWERED BY ZOTEKALI WEB SERVICES

#Blog visitors

Kumbukumbu za Habari

POKEA HABARI KWA EMAIL

#Blog Tags

Ad Home

Header Ads

#All Popular News

Kijukuu Online Tv

Sikiliza KAHAMA FM

Advertisement

Banner

kijukuu-banner

HIKI NDIYO KIJIJI AMBACHO WANANCHI WAKE WANAGAWIWA PESA ZA KUJIKIMU.

Kutoka nchini Kenya, vijiji 200 ambavyo viko magharibi mwa nchini hiyo wanaripotiwa kupata ‘neema’ ya kupokea Dola za Marekani 22 sawa na Shilingi za Kitanzania 52,800 kila mwezi.
Pesa hii inaelezwa kuwa ni ya kujikimu kwa familia zao kila mwezi na pesa hizi hutumwa kwa njia ya simu, lengo kuu ikiwa ni kuboresha maisha ya wakazi wa vijiji hivyo.
Pesa hiyo hutumika kwa matumizi ya kilimo, biashara, ada za shule, ujenzi na hata katika afya. Hatahivyo baadhi ya watu wamekosoa utaratibu huo wakisema kuwa unawalemaza wakazi hao kutokufanya kazi kwa bidii na kujiingizia kipato wenyewe.
Misaada hiyo ya pesa inatolewa na shirika moja linalojulikana kama GiveDirectly.

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!

#Weekly Top News