Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania

Tunakushukuru Sana kwa kuwa sehemu ya Mtandao wetu kwa takriban miaka 10 sasa! Tumesitisha Huduma kwa Muda Mpaka hapo Baadaye!

COPYRIGHT © Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania | POWERED BY ZOTEKALI WEB SERVICES

#Blog visitors

Kumbukumbu za Habari

POKEA HABARI KWA EMAIL

#Blog Tags

Ad Home

Header Ads

#All Popular News

Kijukuu Online Tv

Sikiliza KAHAMA FM

Advertisement

Banner

kijukuu-banner

PICHA: MKURUGENZI KAHAMA MJI AGUSWA NA MAMA WA WATOTO WAWILI ALIYETELEKEZWA NA MUMEWE,AMPA TSH LAKI MOJA YA KUWAHUDUMIA WATOTO.

 MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA UNDERSON MSUMBA AKIMPATIA KIASI CHA SHILINGI LAKI MOJA (100,000) BI TATU MTEMI ALIYETELEKEZWA NA MUMEWE BWANA KULWA PETER DEREVA BODA BODA AMBAYE ALIMUOA AKIWA NA MIAKA 12 NA KUMZALISHA WATOTO 4 AMBAPO WATOTO WAWILI WALIFARIKI.

 MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA UNDERSON MSUMBA AKIHESABU PESA KWA AJILI YA KUMPATIA BI TATU MTEMI.

 MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA UNDERSON MSUMBAAKIONGEA NA MAAFISA WA KITUO CHA HUDUMA SHUFA KILICHOPO KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA KINACHOHUDUMIA WATOTO NA WANAWAKE WANAOTESWA NA KUNYANYASWA.MSUMBA AMEWATAKA MAAFISA HAO KUZUNGUKA NA KUWABAINI WATU WENYE MATATIZO KAMA YA MAMA ALIYEMSAIDIA PESA KISHA KUWAKOPESHA KUPITIA FUNGU LA VIJANA NA KINA MAMA LINALOTOLEWA NA HALMASHAURI.

 BI TATU MTEMI ALIYETELEKEZWA NA MUMEWE NA KUACHWA NA WATOTO WANNE AMBAPO WATOTO WAWILI WAMEFARIKI,AKIWA KATIKA SURA YA TABASAMU MARA BAADA YA KUPOKEA KIASI CHA SHILINGI LAKI MOJA KUTOKA KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA.

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA UNDERSON MSUMBAAKIWA NA MAAFISA WA KITUO CHA HUDUMA SHUFA NJE YA KITUO HICHO AMBAPO NDIPO ALIPOKUTANA NA MAMA ALIYETELEKEZWA.

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA UNDERSON MSUMBA AKISISITIZA JAMBO KWA MAAFISA WA KITUO CHA HUDUMA SHUFA.

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!

#Weekly Top News