Header Ads

WAOMBOLEZAJI WATIMUA MBIO BAADA YA MTU ALIYEDHANIWA AMEKUFA KUIBUKIA MSIBANI

Wakazi wa kijiji cha Marindi huko Kaunti ya Migori walipaniki na kuchanganyikiwa baada mwanaume wa miaka 35 ambaye aliaminika kuwa amefariki kuibukia msibani nyumbani kwake ghafla Familia ya mwanaume huyo walikuwa wakimalizia mipango ya mazishi ndipo
Okelo Nyamwaga alipojitokeza Kufika kwake huko kusikotarajiwa kulileta hofu na furaha katika familia yake na marafiki na waombolezaji wengine kukimbia Nyamwaga alikuwa amepotea kwa miezi miwili na familia yake ilipoteza matumaini ya kumpata akiwa hai
Wiki moja iliyopita marafiki wa Nyamwanga walisema mwili wake ukiwa umeharibika ulikuwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Migori Mwili huo uliokotwa mtoni ukiwa umeharibika na kupelekwa mochwari

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!