Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania

Tunakushukuru Sana kwa kuwa sehemu ya Mtandao wetu kwa takriban miaka 10 sasa! Tumesitisha Huduma kwa Muda Mpaka hapo Baadaye!

COPYRIGHT © Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania | POWERED BY ZOTEKALI WEB SERVICES

#Blog visitors

Kumbukumbu za Habari

POKEA HABARI KWA EMAIL

#Blog Tags

Ad Home

Header Ads

#All Popular News

Kijukuu Online Tv

Sikiliza KAHAMA FM

Advertisement

Banner

kijukuu-banner

JAMAA KATIWA MBARONI KWA KUTOBOA BOMBA LA MAFUTA YA DIZELI MALI YA TPA NA KUJIUNGANISHIA BOMBA LAKE LA MAFUTA HADI NYUMBANI

Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), wakishirikiana na Jeshi la Polisi nchini, wanamshikilia Ndugu Samwel Nzagi Kilang'ani mwenye umri wa miaka (63), kwa tuhuma za kutoboa bomba la mafuta ya Dizeli la "Single Point Mooring" mali ya TPA na kujiunganishia bomba lake la mafuta hadi nyumbani kwake ambako ameweka mantaki makubwa ambayo ameyachimbia chini ya ardhi.

Msemaji wa TPA,  Janeth Ruzangi amethibitisha kukamatwa kwa mtu huyo huku polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ikiendelea kumshikilia kwa uchunguzi zaidi.


No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!

#Weekly Top News