Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania

Tunakushukuru Sana kwa kuwa sehemu ya Mtandao wetu kwa takriban miaka 10 sasa! Tumesitisha Huduma kwa Muda Mpaka hapo Baadaye!

COPYRIGHT © Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania | POWERED BY ZOTEKALI WEB SERVICES

#Blog visitors

Kumbukumbu za Habari

POKEA HABARI KWA EMAIL

#Blog Tags

Ad Home

Header Ads

#All Popular News

Kijukuu Online Tv

Sikiliza KAHAMA FM

Advertisement

Banner

kijukuu-banner

MWIMBAJI AFUNGWA JELA MISRI BAADA YA KULA NDIZI KWENYE VIDEO.Mahakama nchini Misri inaripotiwa kumfunga mwimbaji mmoja miaka miwili jela baada ya kuonekana kwenye video moja ya mziki akiwa na vazi la ndani haku akila ndizi.

Shaimaa Ahmed, 25, ambaye kimuziki anafahamika kama Shyma, alikamatwa mwezi uliopita baada ya video hiyo kuzua ghadhabu kwenye taifa hilo.

Siku ya Jumanne alipatikana na hatia ya kuunga mkono mapenzi na kwa kuchapisha video inayokiuka maadili.

Mwelekezi wa video pia naye alihukumua kifunga cha miaka miwili licha ya yeye kutowepo mahakamani.
Shyma alikuwa ameomba msamaha kabla akamatwe.

"Sikufikiria haya yote yatafanyika na kwamba ningeshambuliwaa kwa njia hii kali kutoka kwa kila mtu."

Mwaka uliopita mahakama nchini Misri ilawahukumu wacheza dansi watatu wanawake miezi sita gerezani baada ya kuwatuhumu kwa kuchochea ngino kwenye video ya muziki.

Mwimbaji mwingine anakabaliwa na kesi kwa kueneza uvumi kuwa maji ya mto Nile yanaweza kumfanya awe mgonjwa.

 

 
 

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!

#Weekly Top News