Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania

Tunakushukuru Sana kwa kuwa sehemu ya Mtandao wetu kwa takriban miaka 10 sasa! Tumesitisha Huduma kwa Muda Mpaka hapo Baadaye!

COPYRIGHT © Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania | POWERED BY ZOTEKALI WEB SERVICES

#Blog visitors

Kumbukumbu za Habari

POKEA HABARI KWA EMAIL

#Blog Tags

Ad Home

Header Ads

#All Popular News

Kijukuu Online Tv

Sikiliza KAHAMA FM

Advertisement

Banner

kijukuu-banner

DIAMOND ATUHUMIWA KUWADHALILISHA WANAWAKE.....NI BAADA YA KUMTAKA MTOTO WAKE WA KIUME AWATUMIE ATAKAVYO!

Msanii Diamond Platnumz anayetamba na Ngoma ya Sikomi ameingia matatani baada ya  watu mbalimbali kumtuhumu kuwadhalilisha wanawake kupitia ujumbe wake aliouandika katika ukurasa wake wa Instagram.

Ujumbe huo ambao ulikuwa ni maalum kwa ajili ya kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake wa kiume, Nillan, ulimtaka mtoto huyo akue salama ili aje awatumie wanawake vyovyote atakavyo kwa sababu  anajituma ili amwandalie pesa ya kutumia vyovyote atakavyo atakapokuwa mkubwa.

“Nasemaje! Kua Uje kuwatembezea Baba... We swala la Kutafta ela niachie mie... Jukumu lako ni moja tu, Kupita nao.....Happy 1st Year Lanny!!!” Unasomekla ujumbe huo wa Diamond.


Ujumbe huo ulionekana kuwakera watu wengi hasa wanawake, ambao waliamua kumfungukia na kumpa makavu.
 
 Diamond Platnumz has offended women with his birthday message to his son Nillan who turned a year on Wednesday.
  
The hit maker of "Sikomi" took to his Instagram account to send his birthday wishes to his son, but the language he used was not appealing to female followers on his social media pages.
 
In his message, Chibu Dangote has urged his son to grow up and use women as he wish since money will not be a problem for he is doing everything to ensure he lives a good life.
 
The message clearly shows that the Wasafi CEO has no respect to women at all, going by the comments left under the photo.
 
“Nasemaje! Kua Uje kuwatembezea Baba... We swala la Kutafta ela niachie mie... Jukumu lako ni moja tu, Kupita nao.....Happy 1st Year Lanny!!!” Reads Diamonds Post
 

Many of  his fans accused him of lack respect to women, saying probably  thats the main reason he is always cheating on his wife.
 
“One of the stupidy wishez to a boy child to be shared publicly,shameless ..No any smart woman wshing to have”
 
“Atawatembezea aho aho wasio na akili kama ww apo unao watembezea awana akili ndo mana kabemendwaaaaa na yy mnamtembezeaa kila siku watoto mnawaanika mitandaoni wanatukanwa angalia mastar kina dj Khalid watoto wao kina neyo kina mario watoto wao Sio ww kila siku unaibuka na jipyaa”
 
 

Others stated that like father like son, as the mango doesn’t fall far from the tree.
 
“He most stupid birthday wish ever written by a father .Pesa ni kipimo kikubwa cha imani. Anaona ana pesa, anakula na kunywa, akiumwa atatibiwa nk. lkn kasahau kuwa mipango ya Mungu ni mikali. Mungu ni pendo lkn at the same time ni mkali sana.”
 
“Huu si ujumbe sahihi kwa mtoto tena mdogo asieelewa chochote (malaika) kakaangu!!! Mzazi anaejielewa humuombea mtoto/watoto kuishi katika njia zilizo sahihi na zenyekumpendeza Mungu... kunamatajir wangapi na wenye majina yao dunian na wanawatoto na hawaandiki unachokiandika dugu yetu.... Badilika huo ni uswahili uliopitilia... ww ni maarufu jaribu kujihesimu na kuwaombea baraka watoto wako coz maisha hubadilika kama uionavyo dunia, dunia si tambarare tu kunamilima, maziwa na bahari pia..... Jaribu kuwa na hofu ya Allah”
“I hate the caption too...but posting maybe he was too busy you never know...then Mama diamond nowdeis loves Nillan sana kama hangekuwa wake asingeshughulika you her...right.”
 
“Hata km damu sio yako, hutakiwi kuinenea maneno ya ajabu hivyo! Kumbuka unamtoto wa kike.”
 
“Well said mamii.... Kwa mzazi anaejielewa hawezi kusaport maisha ya kipuuzi kwa mtoto wake.... Diamond amekuwa sasa anahitaji kubadilika na aachane na uswahili”
 
“This is crazy and zari has read that caption...he needs to grow up and speak blessings on his child.”
 
“Wew taira kweli daimondplatnumz inaonekana kabisa huyu nilan sio mtoto wako wakumzaa niwa ivan angekuwa wakwako usinge mpa mtoto maneno machafu namna hiyo hajui kitu chochote umesahau mzazi ni mungu Wa pili duniani sasa maneno gani una mnenea mwanao kama kweli ni damu yako kinywa kinaumba usishangae mtoto anakuwa mkubwa anakataa mpaka kwenda Shule anakimbilia maneno ulio mnenea alafu”
 

 

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!

#Weekly Top News