Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania

Tunakushukuru Sana kwa kuwa sehemu ya Mtandao wetu kwa takriban miaka 10 sasa! Tumesitisha Huduma kwa Muda Mpaka hapo Baadaye!

COPYRIGHT © Kijukuu Cha Bibi K | Habari,Matukio na Burudani Tanzania | POWERED BY ZOTEKALI WEB SERVICES

#Blog visitors

Kumbukumbu za Habari

POKEA HABARI KWA EMAIL

#Blog Tags

Ad Home

Header Ads

#All Popular News

Kijukuu Online Tv

Sikiliza KAHAMA FM

Advertisement

Banner

kijukuu-banner

KIJANA AKAMATWA NA POLISI AKITAKA KUBAKA WALIMU NA WANAFUNZI KWA MKUPUO MKOANI ARUSHA.

Makubwa Haya!! Ndivyo unaweza kusema...Kutoka Arusha tunaambiwa kuwa kijana aliyejulikana kwa jina la Musa Shakifu amekamatwa na jeshi la polisi baada ya kuvamia shule ya Msingi Oltroto iliyopo Arumeru  na kutaka kuwabaka kwa mara moja walimu pamoja na wanafunzi.

Hata hivyo kijana huyo hakufanikiwa kwenye jaribu hilo la kutaka kubaka walimu na wanafunzi na tayari Jeshi la Polisi limekamata ambapo Kamanda wa Polisi Charles Mkumbo amesema wanaendelea kumuhoji.

Mwalimu wa zamu kwenye shule hiyo amekiri kuvamiwa na kijana Musa ambaye alionekana kutumia nguvu za kupitiliza kutaka kuwabaka kwa mkupuo walimu pamoja na wanafunzi.

No comments

Karibu tena,asante kwa kusoma habari hii!

#Weekly Top News